Unapoanza kuweka dau lako la kwanza kwa pesa halisi kwenye kasino, moja kwa moja unaanza kupata tuzo pointi.
Ili kuangalia salio la pointi zako, nenda kwenye: Chaguzi za Akaunti > Loyalties (Uaminifu).
Kwa Bet zilizoshinda kwenye Aviator, JetX, na Comet Crash:
→ Unapata 0.50 pointi kwa kila 1 TZS ulioweka.
Kwa Bet zilizopotea kwenye michezo hiyo hiyo:
→ Unapata 1.5 pointi kwa kila 1 TZS ulioweka.
🔹 Ni Bet za pesa halisi tu zinazostahili. Bet zilizofutwa, kughairiwa, au zilizowekwa kwa bonasi hazitapewa pointi.
🔹 Pointi huwekwa kwenye akaunti yako baada ya kila mzunguko wa mchezo kumalizika.
Unaweza kubadilisha pointi zako kuwa zawadi ya pesa taslimu au bonasi ya kasino.
Kiwango cha chini cha pointi kinachohitajika kubadilisha ni 10,000 pointi.
Ili kubadilisha, nenda kwenye sehemu ya Zawadi ya Pesa au Bonasi ya Kasino kisha bonyeza Redeem (Badilisha).
Points
Cash Rewardtzs
10000
50
25
19000
100
40
56000
300
150
92000
500
250
450000
2,500
2,250
885000
5,000
1740000
10,000
3300000
20,000