Bet maker inaweza kukusaidia kutengeneza bet yako

  1. Unaweza kuweka chaguo unazohitaji kwenye bet yako. 
  2. Unaweza kuchagua mashindano na masoko.   
  3. Unaweza kuamua kuweka kikomo cha muda wa kuanza kwa matukio yako (kwa mfano, mechi zitakazochezwa ndani ya saa 3 zijazo.
  4. Unaweza kuchuja nafasi za ushindi (odds) kwa kuchagua kiwango unachotaka kwa kutumia mstari wa kutelezesha (mfano: odds kati ya 1.20 na 1.80), unaweza pia kuweka jumla ya juu ya odds kwenye Bet yako. 
  1. Unaweza kuongeza chaguo za ziada wakati wowote kwa kubofya tu. 
  2. Ikiwa hupendi chaguo ulizopewa, unaweza kubadilisha baadhi au zote kwa kutumia kipengele cha "spin". Unaweza kufunga chaguo zako uzipendazo kwa kutumia kitufe cha kufunga (Padlock), ili zisibadilishwe wakati wa spin. 
  3. Ukishakuwa tayari, unaweza kuongeza chaguo hizo kwenye betslip na kuweka Bet yako. 
  4. Kipengele cha Bet Maker kinapatikana kwa baadhi ya Michezo, Mashindano na Masoko, kwa maamuzi ya betgr8 pekee. 
  5. Betgr8 ina haki ya kusitisha huduma ya Bet Maker wakati wowote. 
  6. Odds zinazotolewa na Bet Maker ni zile zinazotolewa wakati wa spin, na zinaweza kubadilika mpaka Bet itakapowekwa. 
  7. Chaguo hutolewa kwa nasibu/bahati na Betgr8 haikuhakikishii ushindi. 
  8. Bet inakuwa halali tu baada ya kubofya: ongeza kwenye bet slip na kisha: Weka dau. 

Vigezo na Masharti kwa ujumla vya betgr8 vinatumika.

Build your Bet