Chachisha

🔥 Tunakuletea Chachisha!
Mechi Moja. Sheria Zako. Mchezo Wako.

👉 Jaribu Chachisha Sasa: https://betgr8.com/tz/chachisha

Chachisha ni Nini?

Chachisha ni kipengele cha kipekee kabla ya mechi (pre-match) kinachokuruhusu kujenga dau lako binafsi kwa kuchanganya masoko mbalimbali kutoka kwenye tukio moja, ndani ya orodha maalum ya michezo inayostahiki. Hii inamaanisha unaweza kuunda mkeka wako kwa kuchagua matokeo tofauti — kama vile Matokeo ya Mechi, Zaidi/Chini ya Mabao, Timu Zote Kufunga, na mengine — yote kutoka kwenye mechi moja tu

Inafanyaje Kazi?

  • Kabla ya Mechi Pekee: Inapatikana tu kabla mechi haijaanza.
  • Masoko ya Kipekee: Hauwezi kuchagua matokeo yanayofanana mara mbili.
  • Tiketi ya Peke Yake: Huwezi kuichanganya na aina nyingine za dau.
  • Kanuni za Kughairiwa: Chaguo likifutwa, linahesabiwa kwa odds ya 1.00.

Kwanini Ucheze Chachisha?

✅ Una udhibiti zaidi.
✅ Unapata kubadilika kwa urahisi.
✅ Njia ya kusisimua na ya kipekee ya kubashiri kwa akili — yote kwenye mechi moja.

Dhamana ya BetGr8

  • Odds zote zimewekwa tayari na zinatolewa na BetGr8.
  • Tuna haki ya kurekebisha au kusitisha Chachisha wakati wowote.
  • Matukio yaliyofutwa/kuahirishwa yatafuata Sheria na Masharti ya kawaida ya BetGr8.

 

BetGr8 | Ni lazima uwe na umri wa miaka 18+


🎮 Cheza kwa uwajibikaji – Jua mipaka yako.