FlexiCUT inakuwezesha kuchagua ni mechi ngapi unataka ‘kukata’ kwenye dau lako la mkeka (multiple bet). Ukichagua Cut 1, utashinda hata kama chaguo moja litakuwa sio sahihi. Cut 2: unaweza kuwa na hadi machaguo 2 yasiyo sahihi. Cut 3: hadi machaguo 3 yasiyo sahihi. Ushindi wako jumla ni ule unaoonyeshwa, hata kama utatabiri kwa usahihi chaguo zote
Vigezo na Masharti kwa jumla ya Betgr8 yanatumika