Multi Boost Bonus

Vigezo na masharti

  1. Bonasi ya Multi Boost ni ya kipekee kwa wateja wote wa betgr8 wanaoweka Bet ya michezo kwa pesa halisi.
  2. Ni halali tu kwa Bet ya michezo lililowekwa kwa pesa halisi.
  3. Kulingana na idadi ya chaguo kwenye Bet, ushindi utakaopatikana, utaongezwa kwa asilimia husika, kuanzia 4% hadi 350%.
  4. Idadi ya chini ya michezo ili ufuzu ni mitano (5).
  5. Odds ya chini kwa kila chaguo lazima iwe 1.30 au zaidi.
  6. Bet inaweza kujumuisha chaguo za kabla ya mechi (prematch) na/au mechi zinazoendelea (live). 
  7. Bet ililowekwa kwa Freebets, Cash Out, Cut1, Systems na Combinations hazihusiki kwenye Bonasi ya Multi Boost. 
  8. Kwa chaguo zilizofutwa (void), chaguo zenye odds chini ya 1.30, na matukio yoyote yatakayochezwa baada ya siku 6 baada ya Bet kuwekwa, Bonasi ya Multi Boost itahesabiwa kulingana na idadi ya chaguo halali zilizobaki kwenye betslip, ikiwa matukio halali yaliyobaki ni angalau 5. 
  9. Bonasi ya Multi Boost inayotolewa inaweza kuwa sifuri au chini ya kiwango kilichoonyeshwa kwenye betslip ya awali, endapo kutakuwa na matukio yaliyofutwa. 
  10. Betgr8 ina haki ya kukataa au kusitisha utoaji wa Bonasi ya Multi Boost, na pia kubadilisha, kusimamisha au kuiondoa kwa hiari yake bila taarifa kwa Mtumiaji. 
  11. Kiasi cha Bonasi ya Multi Boost ni kile kilichohesabiwa wakati wa kuweka dau, na kinajumuishwa kwenye Malipo ya Mwisho. Bonasi ya Multi Boost imeonyeshwa kwenye betslip.

 

Play Now!