Quiz Bet

"Quiz Bet" ni kipengele kinachokuwezesha kutengeneza mkeka kwa kujibu maswali kadhaa 

Unaweza kujibu kila swali na kila jibu litakua sehemu ya kutengeneza mkeka wako 

Unaweza kuruka swali lolote  

Unaweza kuchagua dau lako na unaweza kuangalia kiasi cha ushindi kabla ya kuweka mkeka wako 

Matokeo yoyote ya mkeka wako kwenye masoko ya mpira itategemea na dakika za mchezo pamoja na dakika za nyongeza na wajeruhi Isipokuwa vinginevyo, kwa aina maalum za mkeka, muda wa ziada na mikwaju ya penalti havitaathiri matokeo ya mkeka wako 

Odds zinategemewa kubadilika mpaka pale mkeka utakapowekwa 

Unaweza kuangalia mikeka yako kwenye sehemu ya "mikeka yangu "(my bets)

Play Quiz Bet!


Vigezo na Masharti kwa ujumla vya betgr8 vinatumika.